Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara-Mikindani anawatangazia Wananchi Wote kuwaManispaa itaendesha zoezi la Utoaji wa Kinga tiba kwa Shule za Msingi kuanzia Alhamisi ya tarehe 19 hadi Ijumaa tarehe 20 Aprili,2018
Zoezi hilo litawahusu watoto wote wenye umri wa kwenda shule walioandikishwa na wasioandikishwa(kuanzia miaka 5 hadi 14)
Kwa watoto wasioandikishwa wapelekwe kwenye shule iliyo karibu ili wakapatiwe kinga tiba hizo. Huduma zitaanza kutolewa kuanzia saa 1.30 Asubuhi hadi saa 9.30 Alasiri. Wazazi/Walezi msikose ni muhimu kuwapeleka watoto wakapate kinga hizo.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.