• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mtwara-Mikindani yatumia Milioni 11.5 nunuzi wa pikipiki za watumishi

Posted on: April 17th, 2019

Mkuu w aWilaya ya Mtwara Mhe.Evod Mmanda akikabidhi pikipiki kwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Ufukoni Bi Philomena Mwangwale,zoezi la makabidhiano limefanyika April 17,2019 katika viwanja vya Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa

Katika kuteleza ilani ya Chama cha Mapinduzi ibara ya 16 inayosisitiza suala la kufanya kazi kwa bidii na kwa weledi ili kuongeza mapato, Manispaa ya Mtwara-Mikindani imetumia shilingi milioni 11.5 katika ununuzi wa pikipiki tano na kuzigawa kwa watumishi wa Idara ya Utawala na Fedha.

Akizungumza wakati wa ugawaji wa pikipiki hizo ulifaonyika April17,2019 katika Viwanja vya Ofisi za Manispaa, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda ameipongeza Manispaa ya Mtwara-Mikindani kwa uamuzi wa kununua pikipiki hizo kwa kutumia mapato ya ndani na kuzigawa kwa watumishi wa Idara hizo kwa kuwa kila idara ni muhimu katika kufanikisha maendeleo ya Manispaa.

Pamoja na pongezi hizo Mmanda amewataka waliokabidhiwa pikipiki  kuzitumia katika kufanya kazi za Serikali zitakazoleta matokeo chanya badala ya kuzigeuza bodaboda na kufanya shughuli za binafsi hasa nyakati za usiku na kwenye sehmu za starehe.

Aidha amewataka watumishi hao kuzingatia sheria za barabarani kwa sababu ni fedheha ukikamatwa ukiwa una makosa  na kuwataka wasio kuwa na sifa za udereva kukamilisha taratibu kabla hawajanza kuziendesha.

Awali akisoma taarifa ya ununuzi wa pikipiki hizo Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani kanali Emanuel Mwaigobeko amesema kuwa Manispaa imegawa pikipiki kwa watendaji hao kukiwa na malengo ya kuboresha na kuongeza mapato ya halmashauri, kurahisisha usambazaji wa taarifa kwa wakati pamoja na kurahisisha mifumo ya utoaji huduma kwa wananchi na  kwa wakati.

Mwaigobeko amesema kuwa pamoja na pikipiki hizo kugawiwa kwa idara zingine Manispaa imedhamiria kuwapatia pikipiki watendaji wote wa Kata 18, hivyo pamoja na pikipiki 5 zilizogawiwa leo tayari katika bajeti iliyopita ilishanunua pikipiki 5  na kuzigawa kwa watendaji wa Kata 5 na hivyo kufanya jumla ya pikipiki zilizogaiwa kwa watendaji wa Kata kufikia  7.

Idara zilizopatiwa pikipiki ni pamoja na Idara ya Utawala (watendaji wa Kata wawili na Kitengo cha Masijala1) pamoja na Muhasibu wa mapato na Afisa TEHAMA. Aidha Katika bajeti ya 2019/2020 Manispaa imetenga jumla ya shilingi milioni…… ya ujunuzi wa pikipiki.

Matangazo

  • Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Udereva September 08, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tangazo La Nafasi ya Kazi ya Udereva June 27, 2025
  • Tangazo La Kuitwa Kazini October 18, 2024
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Mtwara-Mikindani Yapata Hati Safi Kwa Miaka 18 Mfululizo,RC Sawala Aipa Kongole

    June 20, 2025
  • Idara Ya Ardhi Yakabidhiwa PikiPIki Kudhibiti Ujenzi Holela

    June 16, 2025
  • Viti mwendo 40 Vyakabidhiwa Kwa Wahitaji Manispaa Ya Mtwara Mikindani

    June 12, 2025
  • Vikundi 59 Vya Wanawake Vyakopeshwa MIL.375.5 Awamu Ya Pili

    June 11, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2025 Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. All rights reserved.