Posted on: May 24th, 2022
Katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuboresha sekta ya afya hapa nchini, Benki ya NMB Kanda ya Kusini imekabidhi viti mwendo vitano (WHEEL CHAIR) Pamoja na vitanda viwili ...
Posted on: May 23rd, 2022
Manispaa ya Mtwara-Mikindani imevuka lengo la utoaji wa chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya maika mitano kwa kuchanja watoto elfu kumi na nane mia saba sitini (18760) sawa na asilimia...
Posted on: May 20th, 2022
Ikiwa leo imefikia siku ya tatu tangu Kampeni ya Kitaifa ya Utoaji wa chanjo ya polio kwa Watoto wenye umri chini ya miaka mitano ianze Mei 18 Mwaka huu. Manispaaa ya Mtwara-Mtwara Mikindani imechanja...