Mganga Mkuu wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Dkt. Joseph Kisala (Kulia) akitoa maelezo ya mradi wa jengo la upasuaji, wodi ya mama na mtoto na jengo la kufulia kwa Madiwani walipotembelea mradi huo Januari 30, 2023. ">
Posted on: February 1st, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imefaulisha kwa asilimia 98 katika matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa kumaliza kidato cha nne 2022 ambapo ufaulu huo umeongezeka kwa asilimia ...