• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Afya


Idara ya afya inajumla ya vituo vya kutolea huduma 20, kati ya hivyo vituo vya afya 2 ni vya Serikali na kituo 1 ni cha binafsi,  Zahanati za Serikali zipo 5, binafsi 6, Taasisi za dini 2, majeshi 3, shirika la umma 1.

Huduma zitolewazo na idara ya afya ni kama zifuatazo:-

Huduma za hospitali

  1. Matibabu ya wagonjwa wa  nje
  2. Matibabu ya kifua kikuu na ukoma
  3. Huduma za chanjo
  4. Huduma za uzazi wa Mpango
  5. Huduma za Maabara
  6. Utoaji wa dawa za kufubaza maambukizi ya ukimwi
  7. Huduma za Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele
  8. Huduma za upimaji wa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi
  9. Huduma ya Upasuaji kwa kinamama  wenye matatizo wakati wa Kujifungua
  10.  Upimaji wa kansa ya shingo ya kizazi
  11. Kufanya uhamasishaji wa matumizi sahihi ya vyandarua vyenye viuatilifu.
  12. Kufanya uhamasishaji wa uchangiaji wa damu salama
  13. Kufanya uhamasishaji wa kujiunga na Mfuko wa afya ya jamii CHF/TIKA

Huduma za Lishe

  1. Kutoa Elimu kuhusu lishe iliyobora
  2. Kufanya utambuzi wa hali  lishe kwa makundi yote
  3. Kutoa Matibabu ya utapiamlo
  4. Kutoa huduma za wagonjwa nyumbani

Huduma za ustawi wa Jamii.

  1. Utetezi kwa watoto walio kinzana na sheria kama afisa wa mahamaka
  2. Kulinda na kutetea makundi yaliyo pembezoni na wanaoishi katika mazingira hatarishi, hasa wale wahanga wa ukatili na unyanyasaji wa jinsia.
  3. Huduma kwa mtu mmoja mmoja, familia na taasisi wanaohitaji kufanya malezi ya Kambo na Uasili.
  4. Huduma za usuluhishi na kuwaunganisha wanafamilia walio katika mifarakano na waliotengana
  5. Usuluhishi wa wana ndoa walio katika mifarakano na waliotengana.
  6. Utetezi wa watoto wanaoishi katika familia za wazazi wanaoishi mbalimbali nje ya ndoa kupata huduma za msingi na malezi bora.
  7. Kusimamia maboresho ya huduma zinazotolewa na taasisi za ustawi wa jamii kama vile vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, makao ya watoto na vituo vya huduma za afya

         

Taarifa za miradi

  1. Idara ina miradi miwili inayotekelezwa na “Community Development Grand” ( CDG)
  2. Kukamilisha ujenzi wa nyumba ya Mtumishi katika zahanati ya Ufukoni
  3. Ujenzi wa kiteketezi taka katika kituo cha afya Mikindani.


Matangazo

  • Tangazo La Mgao wa Fedha za Ujenzi wa Madarasa Ya Sekondari October 07, 2022
  • Taarifa Kwa Umma Mapokezi ya Fedha za Vyumba vya madarasa September 30, 2022
  • Tangazo la Maombi ya Kukimbiza Mwenge wa Uhuru January 27, 2023
  • Taarifa Kwa Umma King Tiba za Mabusha,Matende na Minyoo ya tumbo September 23, 2022
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Mtwara-Mikindani Yafaulisha Kwa asilimia 98 Matoke ya Kidato Cha Nne

    February 01, 2023
  • Madiwani, CMT Wakagua Miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru

    January 30, 2023
  • Madiwani Wamshukuru Rais Samia kwa Kuleta Fedha za Miradi

    January 30, 2023
  • Baraza la Wafanyakazi Lapitisha Rasimu ya Bajeti ya Bil. 30.1

    January 26, 2023
  • Tazama yote

Video

Simulizi za mabadiliko Shule ya Msingi Rwelu
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.