Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajia kuendeshwa kuanzia tarehe 10/10/2024 hadi 14/10/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaodaiwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
Kuona majina hayo fungua link TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.