Halmashuari ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani kupitia kibali cha ajira chenye Kumb. Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni 2024 chenye kada za Mtendaji wa Mtaa Daraja la III thelathini (30), Msaidizi Kumbukumbu Daraja la II nafasi tatu (3), Dereva daraja la II nafasi tano (5) na mwandishi mwendesha Ofisi nafasi nne (4) kutoka kwa katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala . Hivyo Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa mtanzania mwenye sifa na kuleta maombi ya akzikwa nafasi zilizoainishwa hapo chini
Kufungua tangazo la Kazi bofyaTANGAZO LA KAZI MTWARA MC -MWISHO.pdf
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.