• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

Posted on: January 6th, 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imeendelea kuviwezesha na kuviinua kiuchumi vikundi 58 vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu kwa kuwapatia mkopo wa asilimia kumi usiokuwa na riba kiasi cha Shilingi milioni mia sita arobaini laki tisa themanini na tano (640,985,000), ambapo vikundi vya wanawake 33 vimepata  mkopo wa shilingi 320,000,000, vikundi vya vijana 22 (313,085,000) na vikundi vya watu wenye ulemavu  3 (8,000,000) Leo Januari 6,2025

Akisoma taarifa kwa niaba ya Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Afisa Maendeleo ya Jamii Bi. Judith Palangyo amesema kuwa Manispaa ilipokea maombi 190 ya mkopo kutoka kwenye mfumo wa utoaji mikopo yenye thamani ya shilingi 3,450,853,080, ambapo kati ya maombi hayo wanawake walikuwa 126 wenye maombi ya mkopo wenye thamani ya shilingi 1,872,580,000, vijana 58 (1,549,130,500) na watu wenye ulemavu 6 wenye maombi ya mkopo wa thamani ya shilingi 29,630,000.

Amesema kuwa baada ya kupokea maombi hayo, Manispaa ilifanya upembuzi yakinifu kwa kutembelea kila mradi kwa kila kikundi na kufanya tathmini kwa kuzingatia uhalisia wa miradi na kiasi cha fedha kilichoombwa ambapo ilibaini kuwa katika vikundi 190 vilivyoomba mkopo ni vikundi 130 vikiwemo vya wanawake 105, Vijana 22 na watu wenye ulemavu 3 vilikidhi vigezo vya kupatiwa mkopo wa Shilingi 1,065,447,000.

Ameendelea kufafanua kuwa kutokana na maombi kuwa mengi kuliko fedha iliyopo, Manispaa imeanza kutoka mkopo wa awamu ya kwanza ambapo mkopo  uliotolewa unaanzia shilingi  1,500,000 hadi shilingi 56,000,000.

Aidha Palangyo amesema kuwa vikundi vyote vinavyopata mkopo vimeshapewa mafunzo juu ya wajibu wa vikundi,uwekaji wa akiba pamoja na usimamizi wa fedha na mali za kikundi huku akiwasisitiza wanakikundi hao kuwa waaminifu na mfano wa kuigwa katika urejeshaji mzuri wa mikopo.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.