Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Jen. Marco Gaguti amewaongoza wananchi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani kufanya usafi Katika Kata ya Magomeni pembezoni mwa barabara inayoelekea Mikindani ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 58 ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibari inayofanyika kila mwaka hapa nchini ifikapo April 26
Aidha Mhe. Mkuu wa Mkoa amewashukuru wananchi wote waliojitokeza kufanya usafi siku ya leo na kuwataka kuendeleza utamaduni huo ili kuweka mji kwenye hali ya usafi
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.