Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-mikindani ilipokea fedha shilingi milioni mia tatu sitini na mbili na laki mbili (362,200,000) kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili, madara manne na matundu ya vyoo 6 katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Mtwara. Ujenzi wa Shule hiyo ulianza 8/6/2023 na unatarajia kukamilika 8/9/2023
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.