Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ilipokea fedha shilingi milioni mia tano kumi na tatu laki mbili (513,200,000) kutoka Serikali Kuu kupitia mradi wa BOOST kwa ajili ya Ujenzi wa Shule mpya ya Msingi katika Kata ya Magomeni. Shule hiyo inahusisha ujenzi wa ya madarasa 16 , Jengo la Utawala 1 pamoja na matundu 24 ya vyoo. Ujenzi wa Shule hiyo umeanza mwezi Juni mwaka huu na unatarajia kukamilika mwezi Oktoba mwaka huu.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.