• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Baraza la Madiwani lavunjwa, Lafanikiwa kuongeza mapato ya ndani kwa asilimia 53.7

Posted on: June 6th, 2020


Mkuu wa Idara ya Mipango na Takwimu Mnaispaa ya Mtwara-MIkindani bwana. Jeremiah Lubeleje akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015-2020 .

Hatimae baraza la Madiwani la Manispaa ya Mtwara-Mikindani limefikia ukomo wake na kuvunjwa rasmi Juni 5,2020 baada ya kuhudumu kwa miaka mitano tangu lilipoingia madarakani Oktoba,2015 na kufanikiwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka Bilioni 3.2 mwaka 2015/2016 hadi bilioni 4.9 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la asilimia 53.7.

Taarifa iliyosomwa na MKuu wa Idara ya Mipango na takwimu wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani akimuwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa bwana Jeremiah Lubeleje katika kikao maalumu cha baraza la Madiwani kilichofanyika Juni 5,2020 , katika Ukumbi wa mikutano wa  Call and Vision imesema kuwa,  kuongezeka kwa mapato kumetokana  na usimamizi mzuri wa baraza la madiwani katika matumizi ya mfumo ukusanyaji wa mapato wa Serikali za Mitaa(LGRCIS) Pamoja na matumizi ya mashine za kukusanyia mapato (POS).

Lubeleje amesema kuwa Pamoja na kuongezeka kwa mapato ya ndani , makusanyo halisi nayo yameendelea kuongezeka  kutoka shilingi Bilioni 2.6 mwaka 2015/2016 hadi shilingi Bilioni 4.2 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la asilimia  57.3

Wakati huo huo bajeti ya Serikali kwa Manispaa ya Mtwara-MIkindani  imeongezeka kutoka shilingi Bilioni 23.7 mwaka 2015/2016 hadi Bilioni 33.4 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la asilimia 41 na kwa upande wa mapokezi ya fedha za Miradi ya Maendeleo, Mishahara na Matumizi mengineyo yameendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka kutoka shilingi bilioni 19.3 mwaka 2015/2016 hadi bilioni 28.1 mwaka 2019/2020 sawa na asilimia 46.

Aidha katika usimamizi wa rasilimali fedha Lubeleje amesema kuwa Manispaa imeendelea kufanya vizuri  katika usimamizi wa matumizi ya fedha na ufungaji wa hesabu kulikopelekea kupata hati safi kwa miaka minne mfululizo  kutoka mwaka 2015/2016 hadi 2019/2020.

Akielezea kuhusu mikakati iliyowekwa na Manispaa katika ukusanyaji wa mapato amesema kuwa Manispaa imewekeza kwenye miradi Mkakati itakayotumika kama vyanzo vya mapato kama vile ujenzi wa stendi ya mabasi ya Chipuputa,Ukumbi wa kisasa wa mikutano, ujenzi wa eneo la maegesho ya magari Pamoja n akubuni vyanzo vipya vya mapato.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.