• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

DC Mmanda afanya Ziara ya Ukaguzi wa Miradi Mnaispaa Mtwara-Mikindani

Posted on: November 9th, 2017

DC MMANDA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI MANISPAA MTWARA-MIKINDANI.

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda  tarehe 30 Oktoba 2017 amefanya ziara ya Ukaguzi wa Miradi mbalimbal ya Maendeleo inayotekelezwa na halmashauri ya Manispaa-Mtwara Mikindani.

Ziara hiyo ilikuwa na lengo na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Miradi lakini pia kukagua nakuona maghala ya korosho kwa kuwa msimu umeshaanza.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa miundombinu ya afya katika Zahanati ya Likombe  inayohusisha ujenzi wa wodi ya mama na watoto, Ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi, Ujenzi wa maabara, Ujenzi wa kichomea taka, ujenzi wa sehemu ya kufulia pamoja na ujenzi wa chumba cha kuhifadhi maiti.Katika mradi huo mkuu wa wilaya amenesha kuridhika na kasi ya ujenzi unaoendelea.

Pia Mkuu wa Wilaya alikagua mradi mwingine wa Ujenzi wa Zahanati ya Mbawala Chini iliyojengwa kwa nguvu ya wananchi kwa kushirikiana na Halmashauri.  Mradi huu uliibuliwa na Wananchi wenyewe na wametoa hekari tano Kwa ajili ya ujenzi na kufyatua tofali 4000. Aidha halmashauri kwenye bajeti yake ya 2017/2018 imetenga shilingi milioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati hiyo na tayarai milioni 10 zzimepelekwa kwenye Kata ili mradi uanze kutumika

Pamoja na mirdai hiyo pia alitembelea kwenye maghala ya korosho yaliyopo mikindani na Naliendele na kujiona suala zima la utunzaji wa korosho utekelezaji wa mfumo wa stakabadhi ghalani. Aidha kwenye maghala ya korosho imebainika kuwa wakulima wengi wanachukua korosho aina ya tegu na kuzifungia kwenye gunia kwa ajili ya kupima.

Hivy Mkuu wa Wilaya amewataka vyama vya msingi kuhakikisha ubora wa korosho kabla ya kuzipima kwa maana mkulima anapopeleka korosho kwa ajili ya kuzipima zinamwaga chini ili ziweze kkaguliwa halafu baada ya hapo zipimwe ili mulima na mnunuzi kla mtu apate anachostahili

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.