• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

DC Mtwara awaonya Waratibu Elimu kutogeuza bodaboda pikipiki walizogawiwa

Posted on: July 17th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda Julai amewataka Maafisa Elimu wa Kata Manispaa ya Mtwara-Mikindani kutozigeuza   bodaboda  pikipiki walizogawiwa na Serikali badala yake pikipiki hizo zikatumike kwa kazi zilizokusudiwa.

Mmanda amezungummza hayo julai 17,2018 kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya pikipiki 18 kwa waratibu elimu wa Kata 18 za Manispaa ya Mtwara-Mikindani, hafla hiyo ilifanyika kwenye kwenye viwanja vya Ofisi ya kuu ya Manispaa.

Amesema kuwa Serikali imefanya jambo kumbwa sana katika kurahisisha utendaji kazi wa waratibu hao kwa kuwawezesha pikipiki zitakazowasaidia kutembelea shule walizokuwa nazo na kuhamasisha shughuli mbalimbali za elimu kwenye maeneo yao ili kuleta matokeo hanya.

“kwa sas hamtakuwa na sababu ya kushindwa kufanya ukaguzi kwenye shule zenu kwa kuwa munao usafiri hivyo ninatarajia kuona kiwango cha ufaululu kinaongezeka “alisema Mmanda

Aidha amewasiistiza waratibu hao kuzitunza pikipiki na kuzitumia kwa kazi zilizokusudiwa kwani kufanya hivyo pikipiki hizo ztadumu kwa muda mrefu.

“hizi pikipiki ni za serikali ni lazima muzitunze, tusije tukazikuta zinageuzwa  kuwa bodaboda, tusije tukazikuta sehemu zisitakiwa na kwa muda usiotakiwa, mali ya serikali kama tunavyofahamu zina utaratibu wake”alisistiza mmanda

Pamoja  na zoezi hilo pia Mmanda amewataka waratibu kusimamia na kufafanua waraka unaohusu wazazi na walezi kuwajibika kwenye uchangiaji wa upatikanaji wa chakula cha mchana shuleni ili wanafunzi waweze kusoma vizuri.

Akizungumza kwa niaba ya waratibu wenzake  Mwalimu Florence Magomba ameishukuru Serikali kwa kuwawezesha pikipiki hizo zitakazosaidia kutembelea shule na kuahidi kufanya kazi ya ziada zitakazopelekea kuboresha elimu na kupandisha ufaulu.

Zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa waratibu Elimu wa Kata  limezinduliwa Julai 4 jijini Dar es salaam na Waziri…………… aidha jumla ya pikipiki 2894 zitagawiwa kwa waratibu elimu wa Kata nchini.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.