• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Kabeho aipongeza Mtwara-Mikindani kwa Usimamizi mzuri wa miradi

Posted on: June 20th, 2018

Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara-Mikindani aliyevaa trucksuit ya njano kulia akipokea mwenge w auhuru kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Omar Kipanga

Kutokana na utekelezaji mzuri wa miradi ya Maendeleo na usimamizi makini wa miradi umepelekea kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2018 ndugu Charles Francis Kabeho kuipongeza Manispaa ya Mtwara-Mikindani kwa kazi nzuri ya usimamizi wa miradi  yenye viwango vya hali ya juu.

Pongezi hizo zimetolewa Juni 19 ,2018 wakati Manispaa ikikimbiza Mwenge wa Uhuru uliopitia jumla ya  miradi 10 yenye thamani ya shilingi bilioni 4,6562,986,041 , Aidha pamoja na kupongeza  usimamizi wa miradi ,pia  kabeho ameipongeza manispaa kwa kuweza kutenga na kutumia fedha kutoka mapato yake ya ndani kwa utekelezi wa miradi 5 kati 10 iliyopitiwa.

Moja ya nyumba za zitakazokaliwa na wakuu wa idara

Wakati akitoa salamu za Mwenge wa Uhuru kiongozi huyo pia amewataka wazazi na walezi kuwapatia watoto chakula pindi wananpokuwa shuleni ili waweze kupata taaluma iliyobora na nzuri.

Aidha Kabeho amefafanua dhana ya uwekezaji katika elimu na kusema kuwa wanajamaii hao wana wajibu wa kuwekeza kwenye elimu kwa kujikusanya  kufyatua tofali wenyewe na kujenga wenyewe au wanajamaii hao wanaweza wakachangishana fedha kwa ajili ya kujenga miundombinu kwa kuwa Serikali  haijakataza jambo hilo.

Pamoja na kupitia miradi hiyo Kabeho amegawa pikipiki kwa watendaji wa Kata 5 kwa ajili ya kurahisisha utendaji wa kazi, amekabidhi hundi ya Tzs 122,100,000 kwa vikundi cha vijana na wanawake  na mashine za ushonaji 10 kwa vijana, amekabidhi kadi za CHF kwa wazee na watoto waishio katika mazingiwa hatarishi pamoja na ugawaji wa vyandarua kwa akina mama waja wazito.

 Pia amegawa zawadi kwa Walimu wa shule za Msingi na Sekondari masomo yao yaliyofanya vizuri kwenye mitihani ya Taifa iliyopita pamoja na zawadi kwa shule zilizoshinda kwenye usafi na zawadi kwa shule zilizoongoza kwenye mitihani yaTaifa ya mwaka jana, pamoja na ugawaji wa taulo za kike kwa wanafunzi wa kike waishio kwenye mazingira magumu.

Mwenge wa Uhuru umepokelewa Manispaa ya Mtwara-Mikindani tarehe 19 June 2018 ukiwa na kauli mbiu unayosema “Elimu ni ufunguo wa Maisha wekeza sasa kw aMaendeleo ya Taifa letu”



Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.