• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Kamati Za Ujenzi Zashauriwa Kununua Vifaa Vya Ujenzi Viwandani

Posted on: November 4th, 2021

Ikiwa zimepita siku 25 tangu Uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 ambapo Manispaa ya Mtwara- Mikindani ilipokea kiasi cha Tsh.440,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa  vyumba 22 vya madarasa  kwa shule za Sekiondari,  Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya amewataka wajumbe wa  Kamati za manunuzi katika ujenzi huo kuhakikisha wananunua  vifaa vya ujenzi kutoka viwandani ili kupunguza gharama za ujenzi.

Amesema kuwa ununuzi wa bidhaa kutoka viwandani unazingatia ubora na  unapunguza gharama zisizo na msingi ambapo fedha hizo zinaweza kuelekezwa katika miradi mingine.

“Ukinunua bidhaa toka viwandani inapunguza gharama na pia unaweza kusevu hela ambayo unaweza kuitumia katika miradi mingine mfano hata ujenzi wa ofisi za walimu” Amesema Kyobya

Mhe. Kyobya ametoa rai hiyo  Novemba 4,2021  katika Ziara ya Kamati Kuu ya Mkoa wa Mtwara ilipotembelea  kukagua na kupokea taarifa ya  utekelezaji wa vyumba vya  madarasa vinavyojengwa  kupitia Mpango wa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 katika Manispaa Yetu.

Aidha amewataka wajumbe hao kuzingatia ubora katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi lakini pia    kushirikiana katika utendaji wao   ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao katika ujenzi huo.

Kwa Upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Bi. Tamko Ally amesema kuwa tayari ofisi yake imeshaanza utekelezaji wa  ununuzi wa vifaa vya ujenzi toka viwandani ambapo saruji inayotumika katika ujenzi huo imeagizwa kutoka  katika kiwanda cha saruji Dangote.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na  amemhakikishia  kuwa madarasa hayo yatakamilika ndani ya muda uliopangwa.

Kamati hiyo imetembelea Ujenzi wa vyumba vya madarasa Sekondari ya Sabasaba,Bandari, Shangani,Chuno,Magomeni ,Mitengo  Mangamba na Naliendele pamoja na Shule ya Msingi  Mitengo na Kamabarage,

Pia imetembelea  Ujenzi wa nyumba ya Mganga Zahanati ya Rwelu na Ujenzi wa Jengo la kujifungulia Zahanati ya Ufukoni pamoja na  Upandaji miti iyopo chini ya mradi wa Kaya Maskini TASAF.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.