• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Kilio cha wafanyabiashara chasikika,baraza laridhia kupunguza Tozo kipindi cha Mpito

Posted on: October 25th, 2018

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Mtwara-Mikindani lililoketi Oktoba 25,2018 katika ukumbi wa Manispaa imesikia kilio cha wafanyabiashara na kuridhia kupunguza baadhi ya viwango vya tozo vilivyopo kwenye sheria ndogo mpya ya Manispaa hiyo iliyotangazwa katika gazeti la Serikal la tarehe 27 April,2018

Punguzo hilo limefanyika baada ya wadau na wafanyabiashara kuilalamikia sheria hiyo kuwa viwango vilivyowekwa ni vikubwa   ukilinganishia na uhalisia uliopo.

Kutokana na uwepo wa malalamiko hayo  ilipelekea wafanyabiashara waliopo eneo la soko kuu Mtwara na stendi kuu ya mabasi kugoma kufungua biashara zao na kusitisha huduma kwa siku mbili mfululizo kuanzia tarehe 24 hadi 25oktoba 2018 wakidai tozo za vibanda iliyopo kwenye sheria ndogo ipunguzwe.

Akizungumza wakati wa kufunga kikao cha baraza la Madiwani Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mwara-Mikindani mhe. Geofrey Mwanichisye amesema kuwa kilio cha wafanyabiashara hao kimesikika na hivyo kikao kimeridhia kimepunguza baadhi ya tozo zilizolalamikiwa kuwa kubwa hususani tozo ya vibanda vya biashara vilivyopo kwenye masoko na stendi kuu ya mabasi.

Amesema kuwa viwango vilivyopitishwa kwenye kikao hicho ni vya mpito na vinaanza kutumika kuanzia Julai mwaka huu hadi Juni 2018 wakati halmashauri ikifanya mapitio upya ya sheria ndogo iliyopitishwa (inayolalamikiwa)

Tozo zilizofanyiwa marekebisho ni pamoja na ushuru wa mabanda makubwa kutoka shilingi 75,000 kwa mwezi hadi shilingi 40,000 kwa mwezi na mabanda madogo kutoka shilingi 50,000 hadi 25,000 kwa mwezi.

Tozo nyingine zilizofanyiwa marekebisho ni pamoja na ushuru wa vizimba  vya (matunda na mbogamboga, kuku, bucha, kizimba cha kuzunguka soko ,tumbaku, kizimba cha chai na chakula, kizimba cha samaki pamoja na meza kutoka shilingi 20,000 kwa mwezi hadi 10,000 kwa mwezi), kizimba cha nafaka na gunia kutoa shilingi 50,000 hadi 30,000 kwa mwezi pamoja na stoo iltalipiwa shilingi 30,000 kwa mwezi.

Aidha mwanichisye amewataka wafanyabiashara na wananchi wote wa Mtwara-Miindani  kutekeleza wajibu wao  kwa kulipa kodi mbalimbali za halmashauri ili kuleta maendeleo na kuwataka viongozi kuzingatia taratibu kanuni na miongozo kwenye maamuzi bila kuangalia itikadi za vyama vyao .

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.