• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Likombe Yapokea Viti Mwendo,Vitanda Vya Kujifungulia Kutoka NMB

Posted on: May 24th, 2022

Katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali katika kuboresha sekta ya afya hapa nchini, Benki ya NMB Kanda ya Kusini imekabidhi viti mwendo vitano (WHEEL CHAIR) Pamoja na vitanda  viwili vya kujifungulia (Delivery beds) kwa  akina mama wajazito  vyenye thamani ya shilingi milioni tano (5,000,000) Katika Kituo cha afya Likombe kilichopo Manispaa ya Mtwara-Mikindani.

Akizungumza mara baada ya Kupokea vifaa hivyo Mei 23, 2022  Afisa Tarafa ya Mtwara Mjini ambae pia alimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mtwara   Ndugu Saidi Kayangu ameipongeza Benki hiyo kwa kuendelea kuiunga mkono Serikali katika kuleta Maendeleo hapa nchini.

“Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inatambua mchango wa NMB, inatambua namna benki inavyoshirikiana kikamilifu na serikali na namna inavyomuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuleta maendeleo” amesema Kayangu

Aidha Kayangu amempongeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani na baraza la Madiwani kwa kuona umuhimu wa kusukuma maendeleo mbele  na kutekeleza miradi inayoboresha sekta ya afya.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Col. Emanuel Mwaigobeko ameishukuru Benki ya NMB kwa msaada walioutoa  kwani imeipunguzia mzigo Manispaa kwa kuwa fedha ambazo zingetumika  kununua vifaa hivyo itasaidia kutekeleza miradi mingine ya Maendeleo.

Kwa upande wake Meneja wa benki ya NMB Kanda ya Kusini Bi. Janeth Shango Benki hiyo inatambua Juhudi zinazofanywa na  Serikali ya awamu ya sita na kwamba wana wajibu wa kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha inatumia faida wanayoipata kutoa misaada katika jamii hasa katika sekta ya afya na elimu.

Amesema kuwa Benki hiyo imejiwekea utaratibu wa kuendelea kutoa misaada kwa jamii na kwa mwakae huu imetnga shilingi Bilioni 2 kusaidia katika sekta hizo.

Bi. Agness Kalanje mkazi wa Matopeni ameishukuru Benki ya NMB kwa msaada walioutoa kwani itasaidia kupunguza foleni kwenye utoaji wa huduma kwa akina mama wanaojifungua na hospitali itaweza kuhudumia idadi kubwa ya akina mama hao kwa wakati mmoja.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.