• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Madiwani,Wataalamu wapongezwa kwa Utekelezaji wa Miradi

Posted on: May 3rd, 2018


Mkuu wa Wilaya ya Mtwara mhe Evod Mmanda amelipongeza baraza la madiwani pamoja na timu ya wataalamu kwa  kazi nzuri wanayoifanya  katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo.

Amesema kuwa miradi mingi inayotekelezwa ndani ya Manaispaa imeonesha imetekelzwa kwa kiwango kizuri na thamani ya fedha inaonekana hata kwa mtu ambae hana utaalamu katika sekta ya Ujenzi.

Mmanda amezungumza hayo Mei 3, mwaka huu  kwenye kikao cha baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa na kuitaka Manispaa kuweka mkakati wa kuhakikisha inaongeza  mapato ili kutekeleza miradi mingi Zaidi.

“Kazeni buti katika kuongeza vyanzo vya mapato, panueni wigo wa mapato, kusanyeni mapato kwa mujibu wa sheria, kanuni, taratibu na kwa ubinaadamu”alisema Mmanda

Kwa upande mwingine viongozi wa vyama vya siasa  walialikwa kwenye baraza hilo hawakusita kutoa pongezi zao kwa menejiment ya manispaa inayoongozwa na Mkurugenzi kwa ukusanyaji mzuri wa mapato pamoja na utekelezaji na usimamizi wa miradi ya Maendeleo

“bila kuangalia  itikadi ya vyama nampongeza Mkurugenzi tunaona mambo yanafanyika haki yake apewe, anafanya kazi” alisema Saidi kulagha Katibu CUF Wilaya

Nae Hassan Mbangile Katibu CHADEMA Wilaya amepongeza Mkurugenzi kwa kusimamia miradi na kuwataka wajumbe baraza la Madiwani kusimamia miradi hiyo..

Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe.Geofrey Mwanichisye amesema kuwa ataendelea kusimamia Manispaa bila ya kuelemea upande wowote na kwamba amepokea mawazo na ushauri kutoka pande zote kwa kuwa  kwenye Maendeleo hakuna upinzani  kwani  Maendeleo hayana vyama

Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani bi Beatrice Dominic ameshukuru kwa pongezi zilizotolewa na kuahidi kuendelea kutekeleza shughuli mbalimbali za Manispaa kwa kufuata miongozo iliyowekwa.

Amesema kuwa katika bajeti ya 2017/2018 hadi kufikia robo ya tatu imetumia kiasi cha shilingi bilioni 1.9 kutekeleza miradi ya Maendeleo kutoka katika mapato yake ya ndani na fedha hiyo imekeleza miradi ya Maendeleo.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.