• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mahakama ya Mwanzo Yafunguliwa Mtawanya, Ngwembe Awaomba Wananchi Ushirikiano

Posted on: June 29th, 2021

Baada ya  kukaa kwa  muda  mrefu bila kuwa na mahakama  ya mwanzo  Katika Kata ya Mtawanya na kupelekea wananchi kutembea umbali mrefu  kwenda mTwara Mjini kupata huduma za kimahakama , hatimae leo Juni 29,2021 Jaji Mfawidhi wa mAhakama  kuu Kanda ya Kusini Mhe.Joel Paul Ngwembe amefungua  huduma za kimahakama zitakazotolewa kila siku Katika ofisi ya Kata ya Mtawanya na kuwomba wananchi kutoa ushirikiano kwa watumishi watakaofanya kazi katika mahakama hiyo.

Mhe. Ngwembe amesema kuwa ofis yake imemua kuanzisha huduma hiyo ili kuwasogezea wananchin huduma kwa ukaribu na kuwaondolea adha ya kutembea umbali mrefu.

Kutokana na  uwepo wa huduma za kimahakama katika eneo hilo Jaji amewataka wananchi wa Mtawanya kutojichukulia sharia mkononi na kugomban hovyo katika maeneo yao badala yake waitumie kupata Suluhu ya matatizo yao bure.

“Ufunguaji wa mashauri hauna gharama, unaweza kufungua kwa njia ya mtandao, hakuna sababu ya kugomban hovyo mtaani, vipo vyombo vilivyofundishwa kwaajili ya kutatua matatizo yenu” Alisema Ngwembe

Aidha amewaomba wananchi hao kutumia hakimu aliyepangiwa kituo vizuri katika kutatua mogogoro yao ya kila siku.

Kwa uapnde wake Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Dunstan Kyobya amewashukuru Jaji Ngwembe kwa kurudisha mahakama ya mwanzo Mtawanya kwani ni kiu ya muda mrefu ya wananchi wa eneo  hilo.

Nae Diwani wa Kata ya Mtawanya Mhe. Ahmad Kalikumbe amesema kuwa amefurahi sana kuona Mahakama ya mwanzo inarejeshwa tena katika Kata yake na kwamba uwepo kwa hakima mwanamke katika  mahakama hiyo  ana Imani haki itatendeka.

Huduma za Mahakama ya mwanzo Mtawanya zinaanza kutolewa Juni.30,2021 na tayari hakimu wa Mahakam hiyo ameshateuliwa.

 

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.