• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mtwara-Mikindani yapongezwa utekelezaji nzuri wa ilani ya CCM

Posted on: January 28th, 2019

Kamati  walipotembelea ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua kutoka skoya,nabwada hadi mtepwezi wenye urefu wa km 3.4, mradi huu unajengwa na fedha za mkopo kutoka benki ya Dunia ukiwa na lengo la kuondoa adha za mafuriko zinazowapata wananchi wakati wa masika.

Kutokana na utekelezaji nzuri wa miradi ya Maendeleo ndani ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani Sekretariet ya   CCM Mkoa wa Mtwara iliyoongozwa na Katibu wa CCM Mkoa alhaji Saad Kusilawe imeipongeza Mnaispaa ya Mtwara-Mikindani kwa kutekeleza vizuri ilani ya CCM.

Pongezi hizo zimetolewa leo January 28,2019 katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa ndani ya Manispaa na kuwataka watumishi kuchapa kazi lengo ikiwa ni kuhakikisha wananchi wanaishi vizuri.

Pamoja na Pongezi hizo Kusilawe amewaomba wananchi kuunga mkono juhudi za serikali kwa kutoa michango yao na kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za maendeleo ili waweze kujipatia maendeleo vizuri.

Amesema kuwa utekelezaji wa ilani ni moja ya nia ya serikali katika kubadilisha Manispaa ya Mtwara ili iweze  kuwa jiji hivyo amefurahi kuona ujenzi wa stendi ya mabasi Chipuputa unaenda vizuri na kuwataka wafanyabiashara wanaojenga vibanda vya biashara kujenga kwa kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mhandisi wa Manispaa.

‘’Nitoe wito kwa wafanyabiashara kujenga kwa maelekezo yaliyotolewa na halmashauri na kwa viwango vilivyotajwa ili tuwe na kituo cha kisasa’’alisema kusilawe

Aidha amewataka wananchi wanaoishi maeneo ya karibu na stendi kutoa ushirikiano kwa Serikali  ili Serikali iweze kufanya kazi yake vizuri.

Kusilawe ametoa rai kwa Mkurugenzi wa Manispaa alipotembelea ujenzi wa soko la kisasa la chuno  kutoa nafasi kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwapa sehemu za kufanyia biashara katika soko hilo lengo ni kumkomboa mfanyabiashara mdogo aweze kujikomboa vizuri.

Aidha amesisitiza kutunzwa kwa miundombinu ya soko hilo kwani lengo la CCM ni kuona miradi hiyo inajengwa kwa ufasaha na kwa ukamilifu na kuhakikisha inaisha kwa haraka na katika wakati mwafaka.

Ziara ya ukaguzi wa miradi imehusisha miradi mitatu ikiwemo mradi wa ujenzi wa mfereji mkubwa wa kuondoa maji ya mvua kutoka skoya, Nabwada hadi mtepwezi, ujenzi wa vibanda vya biishara katika stendi ya muda ya mabasi Chipuputa pamoja na ujenzi wa soko la kisasa la Chuno.


Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.