• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

MD Nyange atoa siku 60 Za Ukamilishaji wa Miradi

Posted on: March 4th, 2024

Baada ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani kupokea fedha Shilingi bilioni mbili milioni mia mbili ishirini na sita (2,226,000,000) kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi katika sekta ya afya, elimu, na utawala  , Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Mwalimu Hassan Nyange amewataka walimu wakuu, wakuu wa shule na watendaji wa Kata ambao wamepokea fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo kuhakikisha wanaanza ujenzi mara moja huku akiwapa siku 60 ya ukamilishaji wa miradi kuanzia Leo Machi 3 ,2024.

Aidha Mkurugenzi amewataka watumishi hao kuwashirikisha wananchi kwenye utekelezaji wa miradi na kuhakikisha wanafanya kazi kwa kushirikiana ili miradi iweze kukamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kwa viwango vilivyowekwa na Serikali .

Mkurugenzi ametoa maagizo hayo Leo Machi 3,2024 alipofanya kikao kazi na watumishi hao kwa ajili ya kuweka mikakati ya ujenzi na ukamilishaji wa miradi hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani.

Miradi itakayotekelzwa na fedha hizo ni pamoja na ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi 180,000,000, maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya (1,000,000,000), ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu Shule ya Msingi Rahaleo (128,000,000), ujenzi wa madarasa manne, Ofisi mbili za walimu pamoja na matundu ya vyoo Shule ya Sekondari ya Mtwara Ufundi (126,000,000) na Ujenzi wa madarasa Matano na matundu ya vyoo 8 Sekondari ya wasichana Mtwara (136,000,000).

Miradi mingine ni pamoja na  ukarabati wa madarasa ya Shule za Msingi (180,000,000), Ujenzi wa matundu ya vyoo Shule za Msingi 28,000,000, Ununuzi wa Vifaa tiba Zahanati ya Mtawanya (50,000,000) pamoja umaliziaji wa zahanati ya Magomeni (50,000,000) na ununuzi wa vifaa tiba (50,000,000).

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.