• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mkurugenzi Kutumia Mapato ya ndani katika kutoa elimu ya kushughilikia Malalamiko

Posted on: September 27th, 2017

MKURUGENZI KUTUMIA MAPATO YA NDANI KATIKA KUTOA ELIMU YA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO.

Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara-Mikindani bi Beatrice Dominic ameahidi kutumia sehemu ya fedha kutoka katika makusanyo  ya mapato ya ndani katika kutoa elimu kwa baadhi ya Kata ambazo hazijashiriki katika mafunzo ya ushughulikiaji wa malalamiko.

Amesema kuwa Elimu hiyo itatolewa na washiriki waliopata mafunzo hayo kwa watumishi wengine ili kujenga uelewa kwa watumishi katika kushugulika malalamiko yanayofika katika Ofisi zao.

Bi Beatrice alizungumza hayo siku ya septemba 26, 2017 kwenye mafunzo ya  namna ya kushughulikia malalamiko yanachofanyika kwenye hoteli ya Tifany iliyopo Manispaa Mtwara-Mikindani.

Pia amewataka Maafisa malalamiko kuwa makini katika utoaji wa taarifa kwa wakati kwani kwa kufanya hivyo kutajenga imani kwa wateja na itapelekea kasi ya malalamiko kupungua. Aidha amewataka Maafisa malalamiko hao kupeleka kwake malalamiko yote ambayo watashindwa kuyatatua.

Vilevile amewasisitiza Maafisa hao kuthamini kila mtu anayefika kwenye Ofisi zao na kutumia ujuzi walioupata kwenye mafunzo katika utendaji wao  wa kazi wa kila siku, na amewataka kutambua kuwa sio kila lalamiko lina ukweli na kwamba wao kama viongozi wanaweza kusingiziwa uongo wasikate tama a na wanatakiwa kuwa wavumilivu.

Pamoja na hayo Bi Beatrice amesisitiza kuwa kila mtumishi wa umma kwa nafasi yake anatakiwa kutekeleza wajibu wake ili kupunguza malalamiko  labda kwa yale yaliyopo nje ya uwezo wa halmashauri kama ujenzi wa barabara na sehemu zingine.

“Ninawaambia kama kila mtu kwa nafasi yake atatekeleza wajibu wake tutapunguza malalamiko,kashughulikieni malalamiko” alisema Beatrice.

Ameongeza kuwa faida kubwa ya kushughulikia malalamiko kwa wakati ni pamoja na kuboresha utendaji wako wa kazi pamoja na kujenga mahusiano mazuri kati ya Serikali na Wananchi, Taasisi ambayo haishughulikii malalamiko Wananchi wake wanakata Tamaa.

Aidha amewaahidi Waheshimiwa Madiwani waliopo kwenye mafunzo hayo kuwa kwenye kikao kijacho cha baraza la madiwani la kujadili taarifa za kwenye Kata atawapa muda wa dakika thelathini ili waweze kutoa mafunzo kwa Madiwani wasiopata mafunzo,hii pia itawahusu walimu na watendaji.

Mafunzo ya malalmiko yamefadhiliwa na Shirika la uimarishaji wa mifumo wa sekta a umma(PS3) kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI, Kwa Tanzania halmashauri ya Bahi,Kishapu,Kigoma Ujiji pamoja na Manispaa Mtwara-Mikindani ni halmashauri peee zilizoteuliwa kwenye uppataji wa mafunzo yahusuyo ushughuliakiaji wa malamiko.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.