• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mstahiki Meya awataka Washiriki Kikao Cha UVIKO-19 kuhamasisha Jamii juu ya Ugonjwa huo

Posted on: October 3rd, 2021

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara -Mikindani Mhe. Shadida Ndile amewataka  washiriki wa  kikao cha Uhamasishaji wa Mpango  Harakishi wa chanjo ya  COVID -19  kuhakikisha wanashirikiana kwa pamoja  katika kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa chanjo ya  UVIKO -19  ili  kudhibiti  kuenea kwa ugonjwa huo katika Manispaa yetu.

“Serikali imewaamini nendeni mkashirikiane   katika kuhakikisha elimu hii  inaifikia jamii husika ili tuweze kudhibiti ugonjwa huu” Amesema Ndile

Mhe. Ndile  ametoa rai hiyo  Oktoba 2, 2021   katika  kikao cha Uhamasishaji wa Mpango  Harakishi wa chanjo ya  COVID -19   kilichoshirikisha   Madiwani, Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji Kata na wa   Mitaa , Maafisa maendeleo ya Jamii  pamoja na  Maafisa Afya Kata wa  Manispaa ya Mtwara - Mikindani.

Amesema kuwa elimu hiyo ikitolewa kwa umakini na  usahihi  itaondoa  imani potofu ambazo zinaendelea kusambazwa katika jamii juu ya madhara yatokanayo na chanjo ya UVIKO -19.

Sambamaba na hili amewataka washiriki hao wasikate tamaa watakapokutana na changamoto katika jamii wakati wa  zoezi la  uhamasishaji kwani  kwenye mafanikio daima kuna changamoto

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Mhe. Hassani Mtenga amewataka washiriki hao kuendeleza jitihada dhidi ya mapamabano ya ugonjwa wa UVIKO -19 ili jamii yetu ibaki salama.

Naye Mratibu wa Kuthibiti Ukimwi Wilaya Nae Dkt. Lusungu Mselela   amesema   kuwa lengo la kikao hicho ni kutoa elimu ya UVIKO -19 kwa washiriki hao    ambayo ikitumiwa kwa usahihi itazuia   maambukizi mapya ya ugonjwa wa UVIKO -19.

Bi. Zuhura Musa ambae ni mshiriki wa  kikao hicho, ameishukuru Serikali kwa kuratibu  mafunzo hayo kwani kwa kupitia elimu hiyo iliyotolewa ameongeza maarifa zaidi juu ya UVIKO -19.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.