• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Serikali Kulipa Bilioni 401 ya Malipo ya Korosho Mkoani Mtwara

Posted on: July 22nd, 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Ndugu Japhet Justine amesema kuwa Serikali imetoa shilingi Bilioni 401 kwa ajili ya kulipa madeni ya wakulima wa korosho wa Mkoa wa Mtwara kuanzia msimu wa 2018 hadi sasa.

Japhet amesema hayo Julai 22,2020 alipokutana na timu ya wataalamu wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani   kwa ajili ya kutoa taarifa ya malipo ya madeni ya korosho na kujua fursa za uwekezaji zilizopo ambazo wao wanaweza kuwekeza.

Amesema kuwa hadi sasa tayari fedha zimeshaingizwa benki na kwamba kazi inayofanyika sasa ni kufanya uhakiki wa majina kwenye mfumo wa benki  na kuhakiki akaunti  za wakulima  kama bado ziko hai (zinafanya kazi) ili hadi kufikia wiki ijayo kila mkulima awe ameshalipwa fedha zake.

Kuhusu kuwekeza katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani Japhet amemtaka mkurugenzi kuaandaa andiko la mradi linalohusu ujenzi wa soko la kisasa feri, ununuzi wa boti ya kuvulia samaki na ujenzi wa kiwanda cha Kusindika Samaki na kuliwasilishakatika Ofisi yake kw aajili ya Utekelezaji.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya ameishukuru Serikali kwa uamuzi  wa kulipa madeni ya wakulima wa korosho ya zaidi ya Milioni 844 katika Wilaya yake.

Aidha amemsiistiza Mkurugenzi na Timu yake kuchangamkia fursa waliyotioa TADB kwa kuandaa maandiko yenye  tija na mazuri huku akiagiza Manispaa kuwapatia TIC, NACTE NA TADB maeneo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ili kuwanufaisha wananchi wa Mtwara katika upatikanaji wa ajira na kuongeza mapato kwa halmashauri.

Nae Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Bi. Juliana Manyama ametoa shukurani  kwa benki ya Kilimo Tanzania kwa kuonesha nia ya kuwekeza katika Manispaa yetu kwani itaongeza thamani ya mazao katika maeneo yetu pamoja na kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Aidha amewataka watu wengine kuja kuwekeza ndani ya Manispaa kwa kuwa yapo maeneo ambayo yameshatengwa kwa ajili ya uwekezaji ikiwemo ujenzi wa viwanda mbalimbali na maghala ya kuhifadhia mazao.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.