• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

“Tumieni changamoto zilizopo kama fursa”Francis Mkuti

Posted on: May 13th, 2018

Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mtwara  Francis Mkuti amewataka wauguzi kutumia changamoto zilizopo kuwa fursa ya kujiendeleza  kielimu ili kuongeza kiwango cha mshahara na kuboresha mazingira mazuri ya ufanyaji kazi

Mkuti amezungumza hayo Mei 13,2018 kwenye maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Hospitali ya Mkoa wa  Ligula Mkuti  na kuwasisitiza  wauguzi wote wa Mnaispaa ya Mtwara-Mikindani kuwa na mahusiano mazuri kazini baina yao na madaktari wagonjwa ,wauguzi n ahata ndugu wa waggojwa

“Mkiwa na uhusiano mzuri basi mtafanya kazi kwa umoja kama timu ,na tujitahidi kuwaheshimu sana wagonjwa na ndugu zao maana ndio wateja wetu kazi zenu ni nyingi na chanagamoto ni nyingi tujitahidi sana kuwa na uhusiano mzuri na kila mmoja wetu”alisema Mkuti

Awali akisoma risalya ya wauguzi wa Manispaa Mtwara-Mikindani Veronika Kamwenda alisema kuwa wao kama wauguzi wamepata mafanikio makubwa tangu wameanza kutekeleza malengo ya milenia ikiwemo kutoa elimu ya afya kwa jamii juu ya uzuiaji wa magonjwa ya UKIMWI na kifua kikuu na malaria, kuwashirikisha akina baba kwa asiliimia 63 jatika huduma za afaya na uzazi pamoja na  mafanikio mengine.

Siku ya Uuguzi Duniani inafanyika kila mwaka ifikapo tarehe 12 Mei na kitifa siku hii imeadhimishwa Mkoani ikiwa na kauli miu inasema “wauguzi ni sauti inayoongoza afya ni haki ya kila binadamu”.Manispaa imeadhimisha siku hii kwawauguzi Wauguzi kutoa vifaa vya kupimia joto wagonjwa (themometa) 15 kama zawadi kwa wagonjwa kupitia vituo vya afya ikiwemo Mtawanya(1), Ufukoni(1), Chuno(1), Naliendele(1) pamoja na  Rwelu(1), zahanati  ya Mikindani(3) na Likombe(3) pamoja na hospitali ya rufaa ya mkoa Ligula(4).

Pamoja na maadhimisho hayo wauguzi hao walikula kiapo cha utii mbele ya mgeni rasmi kama ahadi yao kuwa watafanya kazi zao kwa weledi na kwa kufuata kanuni,taratibu ,sera pamoja na miongozo iliyowekwa katika kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wagonjwa

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.