• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

"Tumsemee Vizuri Rais Wetu Bila Woga"Yusufu Nannila

Posted on: January 25th, 2022

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuendekea kuleta fedha Mkoani Mtwara kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya Maendeleo, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoaa wa Mtwara Mhe. Yufus Nannila amewataka watumishi na viongozi Wilayani Mtwara kusimama na  kumsemea mama Samia kwa wananchi mambo mazuri anayowatendea wana Mtwara.

Amesema kuwa ndani ya miezi tisa ya Uongozi wa Mama Samia ameleta fedha nyingi za miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya afya ambayo hadi sasa ameongeza vituo vya afya kumi na moja ndani ya Mkoa wa Mtwara.

Mhe.Nannila ameyasema hayo Januari 24,2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani  kwenye kikao cha tathmini ya ziara yake kilichohusisha Viongozi wa Chama Pamoja na wataalamu kutoka halmashauri ya Nanyamba, halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Pamoja na Manispaa ya Mtwara-Mikindani.

Kutokana na  Mkoa wa Mtwara kufanya vibaya kwenye mitihani ya Taifa ya kidato cha nne Mhe. Nannila ameziagiza Shule zote za Msingi na Sekondari Pamoja na Wilaya zote  kuweka mikakati ya namna bora ya kuboresha ufaulu wa wanafunzi.

“Ufulu Mkoani Mtwara ni mbovu, Chama Cha Mapinduzi hakijaridhika na matokeo ya kidato cha nne , viongozi tusaidiane ili kuona tatizo ni nini na tunachukua hatua za haraka , mwaka huu hatutaki daraja la nne wala sifuri” amesema mhe. Nannila

Aidha amezitaka shule zote kutambua mipaka yake huku akiziagiza halmashauri kuhakikisha maeneo yote ya shule na zahanati yanapimwa na kuandaliwa hati miliki ili kuondoa migogoro na wananchi lakini pia amezitaka shule hizo kuhakikisha zinaweka mfumo wa kuvuna maji ya mvua.

Akiongea kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Katibu Tawala Wilaya ya Mtwara Thomas Salala amemshukuru mwenyeketi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara kwa kutembelea Wilaya ya Mtwara na kwamba maagizo na ushari uliotolewa na kamati hiyo utazingatiwa na kufanyiwa kazi ikiwemo kusimamia ufaulu shuleni Pamoja na kuwasimamaia wakurugenzi kutenga bajeti kwa ajili ya uvunaji wa maji ya mvua kwenye shule, zahanati na Vituo vya afya.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.