• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Vijana Mikindani Wahamasisha Kujiandikisha ,Wasisitizwa Kuzingatia Amani na Utulivu Kipindi Cha Uchaguzi

Posted on: October 19th, 2024

Ikiwa imebaki siku moja ili zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la Orodha ya wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limalizike hapa nchini , Vijana wa Tarafa ya Mikindani ambao bado hawajajiandikisha wametakiwa kujiandikisha ili waweze kuwa wapiga kura halali na kuchagua kiongozi bora atakaewaletea Maendeleo kwa ajili  ya kesho yao iliyo bora.

Aidha wametakiwa kufanya michakato yote ya Uchaguzi kwa kuzingatia amani, utulivu na mshikamano kwa watu wote na kutokubali kutumiwa na mtu au chama chochote kuleta vurugu kwenye uchaguzi huo.

Rai  hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara COL. Patrick Sawala alipozungumza na vijana hao Leo Oktoba 19,2024 kwenye kikao  kilichoandaliwa na Diwani wa Kata ya Mtonya Mhe. Shadida Ndile kilichokenga kuwahamasowha Vijana Kujiandikisha na Kupiga Kura Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Kuelekea zoezi la Uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na ujumbe wa Serikali ya Mtaa kuanzia Oktoba 26 hadi Novemba 1, Mkuu wa Mkoa amesema kuwa anatamani kuona vijana wengi wanajitokeza kugombea nafasi hizo hivyo amewataka  wajitathmini ili muda wa kuchukua fomu ukifika wakachukue na wagombee nafasi mbalimbali.

Ameendelea kuwasisitiza vijana hao kujitokeza kusikiliza sera za wagombee muda wa Kampeni ukifika ili Novemba 27,2024  wakapige kura kuchagua  kiongozi mwenye maadili, mtiifu  atakayewaletea Maendeleo.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya yaMtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya amempongeza Diwani wa Mtonya kwa kuwakusanya vijana hao pamoja kwa lengo la kuwapa hamasa ya kujiandikisha na amewataka vijana kutomuangusha na kuwasisitiza wajitokeze kujiandikisha kwa wingi.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.