• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Vijana Wahakikishiwa Kupewa Mkopo wenye Riba Nafuu

Posted on: November 3rd, 2017

VIJANA WAHAKIKISHIWA KUPEWA MKOPO WENYE RIBA NAFUU

Mkurugenzi wa Manispaa Mtwara-Mikindani Bi. Beatrice Dominic amewahakikishia vijana waishio Manispaa kuwa kama watajiunga kwenye vikundi na kujisajili atawapatia mkopo wenye riba nafuu.

Amesema kuwa fedha za kuwakopesha vijana zipo changamoto kubwa ni vijana hao kutojitokeza kwenye maombi ya mikopo na hivyo kupelekea  fedha nyingi kukopeshwa kwa vikundi vya Wanawake. Aidha amesema anatambaua vijana hao wanashughuli nyingi za kufanya lakini kwa kuwa wameshindwa kutambua fursa walizonazo wamejibweteka kwa madai kuwa hawana mtaji wa kuweza kuwainua.

MKurugenzi ameyaongea hayo jana Novemba 3, 2017 kwenye uzinduzi wa jukwaa la vijana lililofanyika kwenye Ukumbi wa vijana uliopo tarafa ya Mikindani katika Kata ya Mtonya

Aidha amewataka vijana hao kutambua kuwa Mji wa Mtwara una fursa nyingi kwa sasa hivyo vijana wakizitambua na kuzitumia fursa zilizopo vizuri wataweza kujitegemea. Amezitaja fursa hizo kuwa ni pamoja na uwepo wa mikopo kwa ajili ya kuwakopesha vijana na Wanawake,Sehemu ya Utalii Mikindani

Amebainisha kuwa kuna sababu nyingi zinazopelekea vijana kutofikia malengo yao ikiwa ni pamoja na kuwa na uoga wa kuthubutu hivyo amewataka kufanya kazi bila uoga, Uvivu pamoja kujutia kitu ulichosomea.

Hata hivyo amewataka vijana kutenga muda muda wa ziada wa kukaa pamoja hasa kwa wale wanaotaka kufanya shughuli zinazofanana na kuunda kikundi kimoja,,Kubainisha  mahitaji na kwamba hadi kufika Disemba apate taarifa ili awapatie mafunzo na mikopo ambayo itasimamiwa na halmashauri.

Kwa upande  wake Mwenyekiti wa Vijana hao Salumu Ngauja amemuahidi Mkurugenzi kuwa hadi tarehe 25 Novemba atapeleka  taarifa ya vikundi vilivyoundwa ambayo itaonesha   shughuli wanazozifanya.

Nae Afisa Maendeleo ya Jamii John Samo amewakumbusha vijana kuwa changamoto kubwa inayoikumba halmashauri kwenye masuala mazima ya mikopo inayokopeshwa kwa vijana ni kuwa vijana hawarejeshi mikopo.

Awali akisoma risala kwa niaba ya vijana wenzake Farida Ahmadi amesema kuwa  Jukwaa la vijana lilianz ana vijana 264 lakini hadi sasa wamebaki vijana103 nakwamba vijana wengi wamejitoa kutokanan na kutokuwa na uvumilivu. Aidha ameahidi wao kama vijana wako tayari kufanya kazi.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.