• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Wagombea Udiwani Kata ya Reli warudisha Fomu

Posted on: October 26th, 2017

Tukiwa tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Reli unaotarajia kufanyika Novemba 26 2017, Jana tarehe 26 oktoba 2017 Wagombea wa udiwani kutoka katika vyama vitano vya siasa wamerudisha fomu za kugombea kiti hicho.

Zoezi la urejeshaji wa  fomu hizo limefanyika katika Ofisi za Kata ya Reli  likisimamiwa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Bw. James Tamba akisaidiwa na wasimamizi wengine kutoka   Ofisi ya Mkurugenzi pamoja na wasimamizi wa Uchaguzi kutoka Ofisi ya Taifa ya Uchaguzi.

Wakati zoezi la kukabidhi fomu likiendelea Afisa Uchaguzi wa Manispaa Mtwara-Mikindani Acland Kambili aliwakumbusha wagombea hao kuzingatia Maadili, Kanuni, sheria na taratibu zinazowaongoza kwenye zoezi zima la Kampeni hadi Uchaguzi utakapokamilika

Amewataka wagombea hao kuzingatia sheria hizo na kuwasisitiza kuwa kipindi cha Kampeni wanatakiwa kunadi sera za vyama vyao na kuepuka matumizi mabaya ya lugha ikiwemo matusi, kejeli kwa kufanya hivo kutaepusha aina yoyote ya uvunjifu wa amani.

Kwa upande wake Jaji Mstaafu ambae pia ni Kamishina wa Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mary Longway amewatakia wagombea kila lenye heri kwenye uchaguzi na kwamba busara itawale na k ana imani maadili wanayajua na  wataenda kuyatekeleza.

Nae Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Mtwara-Mjini Beatrice Dominic amewapongeza wagombea hao kwa kuaminiwa na vyama vyao na kupewa dhamana ya kugombea udiwani.Hata hivyo amewasisitiza kusimamia kanuni, sheria,maadili na taratibu zote za uchaguzi zilizowekwa.

Amewasisitiza wagombea pamoja na viongozi wa vyama vya siasa kujenga imani kwa wasimamizi wa uchaguzi kwani bila ya kufanya hivyo kamwe hawataona kuwa uchaguzi ni wa haki. Aidha amewaahidi kuwa wasimamizi wa uchaguzi watapata elimu ya kutosha ili kufanya Uchaguzi uwe wa haki.

 “Naomba niwakikishie tutajitahidi tutakavyoweza kuhakikisha kuwa wasimamizi wa kituo kila mmoja atapata mafunzo, elimu ya kutosha kufanya kazi kwa ujuzi na busara ya kutosha, busara ambayo haitaharibu uchaguzi”. alisema Beatrice

Mwajuma Ankoni mgombea wa udiwani kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema ameridhishwa na mchakato mzima ulivyoanza na imani kuwa kama hali itaendele  hivyo basi uchaguzi utakuwa wa amani na kwamba anawaasa wagombea wenzake matokeo yatakapotangazwa wayapokee kwa amani na wale watakaoshindwa wajipange kwa Uchaguzi Ujao.

Vyama vitakavyoshiriki kwenye Uchaguzi huo ni pamoja na chama cha ACT- Wazalendo, Chama Cha Wananchi (CUF), Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha NCCR—Mageuzi. Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Reli unafanyika baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata hiyo kufariki mwezi Machi mwaka huu.

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.