• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Watumishi Mtwara-Mikindani Kukopeshwa Viwanja Kwa Malipo ya awamu

Posted on: November 10th, 2021

Ili kuwawezesha watumishi wa Mnaispaa ya Mtwara-Mikindani kkumiliki viwanja kw aajili ya ujenzi wa nyumba ya makazi  Mkurugenzi wa Mnaispaa ya Mtwara-Mikindani ameridhia hoja ya  Wajumbe wa baraza la wafanyakazi Manispaa ya Mtwara-Mikindani la kuwapatia watumishi wake viwanja vya makazi kwa mkopo utakaolipwa kidogo kidogo

Pamoja na viwanja Mkurugenzi pia ameridhia kuwanunulia  saruji kwa bei nafuu Kutoka Kiwanda cha Dangote kwa watumishi  wenye uhitaji  wa kujenga  kwa kuwa Mnaispaa imeingia Mkataba na Kiwanda hicho na kupata namba ya uwakala ya ununuzi wa saruji kwa jumla.

Akizungumza katika Mkutano wa baraza hilo uliofanyika Novemba 10,2021 katika Ukumbi mdogo wa mikutano wa Shule ya Sekondari ya Mtwara-Ufundi , Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Bi. Juliana Manyama amesema kuwa Pamoja na watumishi hao kupatiwa viwanja kwa mkopo watatakiwa kuwa waaminifu na  kuvilipia kwa wakati.

“Ipo tabia hapa imejitokeza kuna watumishi wamepewa viwanja eneo la Mtawanya lakini hadi sasa hawajavilipia sasa kwa hivi ambavyo Mkurugenzi ameridhia kuwakopesha basi tuwe waaminifu na tuvilipie kwa wakati”amesema Juliana

Afisa Mipangomiji wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Bi. Mariam Kimolo amesema kuwa kwa sasa Manispaa imepata Mkopo kutoka Seriklai kuu kwa ajili ya kupima na kuendeleza eneo la Mkangala hivyo kazi ikishakamilika watumishi watajullishwa ili waweze kuomba viwanja.

Kuhusu ununuzi wa saruji kiutoka Kiwanda cha dangote Kaimu Mkurugenzi amewasisitiza watumishi kuwa saruji hiyo itanunuliwa kwa watumishi ni kwa ajili ya ujenzi nyumba na sio kufanya biashara kwa kuwa sio malengo ya Manispaa kuuza saruji .

Kwa upande wake Mratibu wa shirikisho la vyama vya wafanya kazi Mkoa wa Mtwara (TUCTA) Bwana. Athumani Kayumba ameipongeza Manispaa ya Mtwara-Mikindani kwa kuwa halmashauri pekee yenye utaratibu wa kufanya Mkutano huu na kumtaka Mkurugenzi kuendelea na utaratibu huu kwani ni sehemu pekee ambayo watumishi wanaweza kuelezea chnagamoto zao, kutoa maoni na hata kupanga mipango mbalimbali.

Huu ni MKutano wa kwanza wa baraz ajipya la Wafanyakazi lililoundwa mwezi februari mwaka hu una linahusisha watumishi kutoka idara zote zilizopo Manispaa Pamoja na viongozi wa Vyama vya wafanayakazi kama vile TALGWU, TUGHE Pamoja na CWT

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.