• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Wasimamizi Wasaidizi Wa Uchagzui Watakiwa Kuzingatia Kanuni Katika Uchaguzi Mkuu

Posted on: August 7th, 2020

Kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajia kufanyika Oktoba 28 mwaka huu, Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata Manispaa ya Mtwara-Mikindani wametakiwa kufuata miongozo,taratibu na sheria za uchaguzi zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi  ili kufanya uchaguzi huo  kuwa huru, wa haki na wenye kuaminika.

Rai hiyo imetolewa August 7,2020 na Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Mtwara Mjini Col. Emanuel Mwaigobeko wakati wa ufunguzi wa kikao kazi na wasimamizi hao kilichofanyika katika Ukumbi mdogo wa mikutano wa Shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara.

Mwaigobeko amesema kuwa Timu yake imejipanga vema katika kuhakikisha kuwa kila kitu kitakachofanyika katika uchaguzi kinakuwa wazi hatua kwa hatua ili kupunguza malalamiko yanayoweza kujitokeza.

Kwa upande wake Bwana Benezigwa Rushita Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata amesema kuwa wamejipanga kuyafanyia kazi yale yote watakayoelekezwa na kuahidi kuyafanyia kazi kwa kuzingatia miongozo na sheria  zilizopo ili kutenda haki  kwa watu wote.

Nae Hadija Mkongo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Chuno amesema kuwa wamejiandaa kupokea mafunzo hayo na kuahidi kuyasimamia maelekezo yote kuelekea uchaguzi na kuhakikisha kuwa wanatenda haki .

Katika Mafunzo hayo wasimamizi wasaidizi  thelathini na sita wamepatiwa mafunzo na kula viapo viwili vikiwemo kiapo cha kujitoa uanachama na kiapo cha kutunza siri ikiwa ni utayari wa wao kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni zilizopo.

Mafunzo ya wasimamizi wasaidizi wa Uchagzui yatafanyika kwa siku tatu kuanzia  Agosti 7,2020 na  yanatarajia kukamilika Agosti 9,2020.  

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.