• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Wasimamizi,Wataalamu wa TEHAMA, Makarani wa Sensa Watakiwa Kuwa Wazalendo

Posted on: August 15th, 2022


Katibu Tawala Wilaya ya Mtwara Thoams Salala akizunumza na makarani watakaofanya kazi kwenye zoezi la sensa ya watu na makazi

Katibu Tawala Wilaya ya Mtwara Thomas Salala amewataka makarani  wa sensa,wasimamizi wa maudhui ya sensa na wataalamu wa TEHAMA  ngazi ya Kata kuhakikisha wanakuwa wazalendo wanapoenda kufanya kazi ya uingizaji wa taarifa kwenye zoezi la sensa ya watu na makazi ili kupata takwimu sahihi zitakazotumika kwenye kupanga mipango ya mendeleo ya Taifa. linalotarajia kufanyika Agosti 23, 2022.

Salala  ametoa wito huo leo Agosti 15,2022 kwenye mafunzo elekezi ya makarani wa sensa yanayoendelea kufanyika Katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Stella Maris kilichopo Mtwara.

Aidha Amewataka washiriki wa mafunzo hayo  kuliendea zoezi hilo kwa umakini mkubwa  huku wakitambu kuwa  Taifa limewapa  dhamana kubwa ya kufanya kazi hiyo ya sensa  kwa niaba ya watanzania.

“Kazi mnayoenda kuifanya ni kubwa, ya kiwango kikubwa, yenye maslahi mapana ya nchi yetu leo kesho na kesho kutwa,mkaifanye kwa uangalifu kwa faida ya kwetu sote’amesema Salala.

Aidha amewahakikishia washiriki hao ushirikiano mkubwa na ulinzi  wa kutosha kwenye zoezi hilo na amewataka   kutoa taarifa mapema kwa mwenyekiti wa sensa wa Wilaya pale watakapokutana na changamoto yoyote.

Akizungumza kwa niaba ya Makarani wenzake Bwana Mohamedi Nguyahambi ameishukuru Serikali kwa kuwachagua kuifanya kazi hiyo kubwa na muhimu kwa Taifa na ameuhakikishia uongozi wa Mkoa na Wilaya kuwa wanaenda kuifanya kazi hiyo kwa uadilifu na kwa kuzingatia yale yote waliyofundishwa.

Mafunzo elekezi ya Uingizaji taarifa kwenye zoezi la sensa ya watu na makazi Manispaa ya Mtwara-Mikindani yameanza Julai 31 na yatamalazikia Agosti 18, 2022

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.