Manispaa Mtwara ina vivutio vingi vya kitalii ambavyo vinaweza kuiingizia kipato halmashauri. Uwepo wa Mji Mkongwe wa Mikindani ambao umetangazwa kuwa Mji wa kitalii halmashauri inatarajia kupokea wageni wengi watakaoukuja kutembelea na kuona vivutio hivyo na hivyo kuingiza pato la halamshauri.
Baadhi ya vivutio vilivyopo kwenye Mji Mkongwe wa Mikindani ni pamoja na uwepo wa kisima cha maji kisichokauka, uwepo wa nyumba aliyolala mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa kwenye harakati za kupigania Uhuru n.k
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.