Idara ya Elimu ya Sekondari ni idara mpya katika Mamlaka za Serikali za Mitaa iliyoanzishwa rasmi Julai 2009, baada ya agizo la Mhe. Rais la mwaka 2008 alipokuwa anatangaza Baraza la Mawaziri. Kabla ya hapo Idara hii ilikuwa chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Aidha Idara hii ina majukumu mbalimbali, baadhi ya majukumu hayo ni:-
IDADI YA SHULE.
Halmashauri ya Manispaa Mtwara – Mikindani ina Jumla ya shule za Sekondari 21 zikiwemo za Serikali 13 na binafsi 8 kwa mchanganuo ufuatao:-
Na |
Aina ya shule
|
Zenye kidato cha 1-4
|
Zenye kidato cha 1-6
|
Zenye kidato cha 5-6
|
Jumla
|
Zenye Hostel/Bweni
|
||
Wav Pekee
|
Was-Pekee
|
Mchanganyiko
|
||||||
1.
|
Shule za Serikali
|
11
|
2
|
0
|
13
|
0
|
1
|
1
|
2.
|
Shule zisizo za Serikali
|
5
|
3
|
0
|
8
|
0
|
1
|
5
|
JUMLA KUU
|
16
|
5
|
0
|
21
|
0
|
2
|
6
|
UANDIKISHAJI (IDADI YA WANAFUNZI) KWA MIAKA 3 MFULULIZO
NA
|
MWAKA
|
KIDATO CHA I
|
KIDATO CHA II
|
KIDATO CHA III
|
KIDATO CHA IV
|
KIDATO CHA V
|
KIDATO CHA VI
|
1
|
2015
|
1857
|
1857
|
1811
|
1695
|
478
|
505
|
2
|
2016
|
2111
|
1943
|
1835
|
1855
|
549
|
504
|
3
|
2017
|
2170
|
2379
|
1672
|
1518
|
741
|
552
|
JUMLA
|
6138
|
6179
|
5318
|
5068
|
1768
|
1561
|
Watumishi katika shule za sekondari za serikali.
Halmashauri ina jumla ya watumishi 417 wakiwemo walimu 400 na wasiowalimu 17 waliopo katika shule za sekondari.
HALI YA MIUNDOMBINU KATIKA IDARA
Miundombinu iliyopo shuleni kwa shule za serikali.
Jedwali lifuatalo linaonesha muhtasari wa Miundombinu hii iliyopo shuleni.
NA |
AINA YA MIUNDOMBINU |
MAHITAJI |
ILIYOPO |
UPUNGUFU |
1
|
Majengo ya utawala
|
13
|
10
|
3
|
2
|
Vyumba vya madarasa
|
163
|
176
|
13
|
3
|
Nyumba za walimu
|
400
|
73
|
327
|
4
|
Vyoo vya wanafunzi
|
285
|
196
|
89
|
5
|
Mabweni
|
24
|
18
|
6
|
6
|
Maktaba
|
13
|
9
|
4
|
7
|
Maabara
|
39
|
39
|
0
|
8
|
Vyoo vya walimu
|
26
|
26
|
0
|
TAALUMA (UFAULU) KWA MIAKA 3 MFULULIZO.
Hali ya ufaulu kwa kipindi cha cha miaka 3 inaonesha waliofanya mitihani, waliofaulu na asilimia ya ufaulu.
NA
|
MWAKA
|
KIDATO CHA 2
|
KIDATO CHA 4
|
KIDATO CHA 6
|
||||||
fanya
|
faulu
|
%
|
fanya
|
faulu
|
%
|
fanya
|
faulu
|
%
|
||
1
|
2014
|
1979
|
1761
|
89
|
873
|
650
|
74
|
241
|
233
|
97
|
2
|
2015
|
1625
|
1391
|
86
|
1674
|
1048
|
68
|
271
|
269
|
98
|
3
|
2016
|
1992
|
1685
|
85
|
1740
|
1208
|
74
|
475
|
277
|
98
|
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.