Huduma za Afya
Idara ya afya inaj umla ya vituo vya kutolea huduma 20, kati ya hivyo vituo vya afya 2 ni vya Serikali na kituo 1 ni cha binafsi, Zahanati za Serikali zipo 5, binafsi 6, Taasisi za dini 2, majeshi 3, shirika la umma 1.
Huduma zitolewazo na idara ya afya ni kama zifuatazo:-
Huduma za hospitali
Huduma za Lishe
Huduma za ustawi wa Jamii.
Taarifa za miradi
Huduma za Lishe
Idara inashughulika na kazi mbalimbali kuboresha huduma kwa jamii nzima hususani kwenye suala la mlo kamili. Kazi
huduma zinazotolewa ni kama ifuatavyo:
Huduma za ustawi wa Jamii.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2025 Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. All rights reserved.