MAJUKUMU YA IDARA YA FEDHA
A: MAPATO YA VYANZO VYA NDANI MWAKA 2016/2017 NA MAKADIRIO YA MWAKA 2017/2018
KASMA |
MAELEZO YA CHANZO CHA MAPATO |
IDARA YA FEDHA NA UTAWALA
|
|
110851 |
Kodi ya huduma ya Mji
|
140283 |
Ada ya maombi ya zabuni
|
140392 |
Vituo vya mabasi
|
140408 |
Pango la nyumba - majengo ya Halmashauri
|
140505 |
Mapato mengineyo
|
IDARA YA BIASHARA NA MASOKO
|
|
140370 |
Leseni za vileo
|
140292 |
Ushuru wa masoko na vizimba
|
110852 |
Ushuru wa Hoteli
|
140571 |
Leseni za biashara
|
IDARA YA KILIMO NA USHIRIKA
|
|
110808 |
Ushuru wa mazao (korosho)
|
|
IDARA YA USAFI WA MAZINGIRA |
140294 |
Mapato yatokanayo na taka ngumu
|
|
Ushuru wa fomu vya sanitation and hygienic –form fee
|
|
Ushuru wa vibari vya sanitation and hygienic-permit fee
|
140384 |
Mapato mengineyo (Faini)
|
|
Ushuru wa uchunguzi wa vyombo vya majini
|
|
Mapato mengineyo
|
|
Uchangiaji wa huduma za uzoaji taka
|
IDARA YA UJENZI
|
|
140380 |
Ada za ramani za ujenzi
|
|
Ushuru wa maegesho
|
140387 |
Ushuru wa matangazo/mbao za matangazo
|
140405 |
Mapato mengineyo
|
|
Ushuru wa waosha magari/pikipiki/Bajaji
|
|
Ushuru wa kumbi za starehe na maharusi
|
|
Ushuru wa viwanda vya kufyatua Matofali.
|
|
Ushuru wa machimbo ya mchanga, mawe na kokoto
|
|
Ushuru wa kutandaza mfumo wa maji kwa mabomba ya MTUWASA
|
|
Ushuru wa kutandaza mfumo wa umeme-TANESCO
|
IDARA YA AFYA
|
|
|
Uchangiaji (User fee)
|
|
TIKA/CHF
|
|
NHIF
|
|
TFDA
|
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
|
|
|
Ada za wanafunzi shuleni
|
IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
|
|
140349 |
Ada ya leseni mazao ya bahari
|
|
Ushuru wa machinjio
|
|
Ushuru wa soko la samaki
|
IDARA YA MIPANGO MIJI
|
|
140408 |
Upimaji wa Viwanja
|
|
Ushuru wa kuni kwa mzigo au mkaa kwa kiroba au mbao pana kwa boriti
|
|
Ushuru wa miti/kongoo kwa mmoja
|
|
Ushuru wa fito
|
|
Ushuru wa solon za kike/kiume
|
|
Ushuru wa Hostel
|
|
Ushauru wa Bars, Pubs na Gloceries
|
|
Ushuru wa kulaza Magari
|
110802 |
Retention Scheme/land rent
|
IDARA YA MAENDELEO YA JAMII
|
|
140408 |
Ukodishaji wa Jumba la Maendeleo
|
140505 |
Mapato Mengineyo
|
KITENGO CHA UTAMADUNI
|
|
|
Ada ya kusajili vikundi vya sanaa
|
|
Vibali vya vya sherehe, ngoma na matamasha
|
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.