Tuesday 16th, September 2025
@Kata na Mitaa yote
Manispaa Mtwara-Mikindani itaendesha zoezi la ugawaji wa dawa za mabusha,matende na minyoo tumbo kwa wananchi wenye umri kuanzia miaka mitano na kuendelea. Zoezi hilo litaendeshwa kwa muda wa wiki moja kuanzia tarehe 07 Novemba 2017 hadi tarehe 15 Novemba 2017.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2025 Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani. All rights reserved.