Thursday 21st, November 2024
@Vituo vya Afya
Manispaa ya Mtwara Mikindani inatarajia kuendesha zoezi la utoaji wa Matone ya Vitamin A na dawa za Minyoo ya tumbo kwa Watoto wenye umri chini ya miaka 5. Chanjo hizi zitatolewa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya(huduma ya mama na mtotot RCH). Wahudumu watakuwepo vituoni kuanzia saa 1.30 asubuhi hadi 9.30 kwa mwezi mzima kuanzia tarehe 12/6/2017 hadi tarehe 09/7/2017.
Vituo vya kutolea huduma ni kama vifuatavyo:
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.