1. Unatakiwa kuwa na tin number
2.Unatakiwa kuwa na clearance form kutoka TRA
3. Kujaza fomu ya maombi ya biashara kutoka kwa Afisa biashara
4. Unarudi halmashauri kuchukua hati ya malipo kutoka Ofisi ya Afisa biashara
5. Unaenda kulipia benki ya Nmb
6.Unakuja halmashauri kuchukua leseni kwa Afisa biashara
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.