Julai 26.2021 Naibu Waziri wa fafya, Maendeleo ya Jmaii, Jinsia , wanawake na watoto Dkt Dodwin Mollel mbele ya Makamu wa Raais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango katika sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi hospitali ya rufaa ya Kanda ya Kusini, aliahidi kuwa hospitali hiyo itafunguliwa mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.
Hatimae leo Oktoba 1, 2021 Hospitali hiyo imefunguliwa na imeshaana kufanya kazi.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.