Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dustan Kyobya amewataka wananchi kuimarisha ulinzi na usalama kila siku katika maeneo yao.
Amesema kuwa pamoja na kuwepo kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama lakini wananchi wote lazima washirikiane katika kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarika.
Mkuu wa Mkoa ametoa rai hiyo Jilai 9, 2021 alipozungumza na wananchi wa Mtaa wa Mnazi mmoja katika Kata ya Mitengo
Aidha amewataka wananchi, Watendaji wa Kata na Mitaa kutoa taarifa mara moja wanapogundua kuna changamoto yoyote ile ya kiusalama katika maeneo yao
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.