Katika kuhakikisha kuwa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu zinatembelea miradi yenye ubora,Leo Aprili 11,2025 Timu ya Menejimenti ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imetembelea miradi mitatu kati ya miradi mitano itakayopitiwa na Mwenge huo tarehe 25.05.2025.
Mkurugenzi wa Manispaa Mwalimu Hassan Nyange amewataka wataalamu kufanya ufuatiliaji wa karibu kwenye miradi yote ili kubaini mapungufi na kiyafanyia kazi.
Miradi iliyotembelewa ni pamoja na Mradi wa uzinduzi wa Kituo Cha redio Cha HFM, Mradi wa Vijana wa utengenezaji wa tofali Mbae pamoja na Mradi wa Kioski Cha maji Mtaa wa Mwera katika Kata ya Chikongola
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.