Mkuu wa Mkoa wa Mtwara COL. Ahmed Abbass Ahmed amekabidhi magari kumi ya sekta ya afya kwa wabunge wa majimbo ambayo yatatumika kwenye halmashauri zao pamoja na pikipiki tano zilizogawiwa kwa Mafisa ugani mifugo wa halmashuari ya Wilaya ya Mtwara.
Ktaibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bi. Bahati Geuzye amesem akuwa katika magari yaliyokabidhiwa Leo februari 27, 2024 yapo magari matano yatakayotumika kubeba wagonjwa na magari matano yatatumika kw aajili ya shughuli za usimamizi na ufuatiliaji.
Ameema kuwa Mkoa wa Mtwara ulikuwa na magari manane ya kubeba wagonjwa ambayo mengine yaliuwa mabovu na shemeu zingine hazikuw ana magari kabisa lakini ndani ya mwa mmoja Serikali imeshaleta magari ya kubeba wagonjwa kumi na mbili na kupelkekea kuwa na magari ishirini ya kubeba wagonjwa sawa na ongezeko la magari 12.
Aidha kwa upande wa Pikipiki
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.