Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya amewahakikishia wananchi wa Mtwara Ulinzi na usalama wa Kutosha siku ya sensa ya watu na makazi ili kila mmoja aweze kushiriki kwenye kuhesabiwa tarehe 23/08/2022.
Amewataka wananchi wote wahesabiwe kwani kuhesabiwa sio swala la hiyari ni lazima ili Wilaya iweze kupata Maendelelo
Aidha amewataka Viongozi wa Kata na na wa dini kujitokeza kwenye kufanya hamasa ili watu waweze kujitokeza Kuhesabiwa
Ameyasema hayo Leo Agosti 20,0222 kwenye matembezi ya uhamasishaji wa sens aya watu na makazi yayoratibiwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.