Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdalah Mwaipaya amemkabidhi rasmi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, COL. Patrick Sawala kwaajili ya kuukabidhi Mkoani Lindi kuendelea na Itifaki inayofuata.
DC Mwaipaya amekabidhi Mwenge huo baada ya kutamatisha Mbio zake kwenye Halmashauri ya Manispaa Mtwara-Mikindani ambapo jumla ya miradi sita yenye thamani ya Shilingi milioni mia tisa tisini na tano mia tano kumi na moja mia nne na nne (995,511,404) ilitembelewa na Mwenge wa Uhuru jana Mei 25, 2025.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.