Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Mwanhamisi Munkunda Leo Machi 15, 2024 amezindua Program jumuishi ya Taifa ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto (PJT-MMMAM) iliyolenga kutatua changamoto zaukuaji nanamendeleo ya watoto wenye umri unaoanzia miak 0 hadi minane.
Akizungumza kwneye uzinduzi wa Program hiyo Munkunda amesema kuwa uli kuweza kupata viongozi bora katia Taifa la Tanzania , Jamii ina wajibu mkubwa wa kushiriki kikamilifu katika malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto.
Aidha ameitaka jamii kurudi amila na ndesturi kw akulibeba juumu la malezi na makuzi kama jambo la kijamii jhukuakiwasisitiza watendaji wa Kata na Mitaa kupitia mikutano ya Mitaa na vikao vya WDC kulifanya ajenda ya malezi na makuzi yabawali nya mtoto kuwa ajend aya kudumu.
Aidha amewaomba viongozi w adini , taasis n wadau mbalimbali kuendelea kupaza sauti juu ya ajend ahiyo..
Nae Mratibu wa Programu hiyo Mnaispaa ya Mtwara-Mikindani Anna Sallu amesema programu imegawanyika katia vipengele vitano vikiwemo vya afya bora. lishe, fursa za ujifunzjai, ulinzi na usalama wa mtoto na malezi yenye mwitikio.
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.