Katika kuelekea tarehe 05/06/2025 siku ya Mazingira Duniani,ambapo Tanzania itaungana na Jumuiya ya Kimataifa katika maadhimisho ya siku hiyo,Mkuu wa Wilaya Mtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kuhamasihsa jamii juu ya umuhimu wa usafi na kuhifadhi Mazingira.
DC Mwaipaya ameongoza halaiki iliyojitokeza kwa wingi kuitikia wito huo kwa upandaji wa mikoko na usafi wa Mazingirakatika Pwani ya Miseti, Kata ya Chuno , Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
Maadhimisho haya Kitaifa yanafanyika nchini Korea ya Kusini yakiongozwana Kauli Mbiu "KOmesha Uchafuzi wa Mazingira Unaochangiwa na Taka za Palstiki"
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.