• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Fddha za Miradi ya Maendeleo Zawaibua Madiwani, Wamshuru Rais Samia

Posted on: October 27th, 2022


Baada ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani kupokea shilingi bilioni moja milioni mia tatu kumi na tisa laki moja arobaini mia tano na nane  (1,319,140,508) kutoka Serikali kuu kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Maendeleo katika robo ya kwanza mwaka 2022 /2023 , Wajumbe wa baraza la Madiwani Manispaa ya Mtwara-Mikindani wamemshukuru na wamempongeza Rais wa Jamhuri.ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan pamoja na Serikali yake kwa kutuletea fedha hizo kwenye sekta mbalimbali zikiwemo elimu, afya na TASAF.

“Jitihada za Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake tunaiona, Ukizunguka ndani ya Manispaa yetu kila kona miradi inatekelezwa, ni kazi yake na Chama Cha Mapinduzi , Nichukue nafasi hii kwa niaba ya madiwani wenzangu kumshukuru na kumpongeza  sana Rais Samia kwa kutuletea fedha za miradi ya Maendeleo” amesema Mhe. Naibu Meya Edward Kapwapwa

Aidha Madiwani hao wamempongeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani COL. Emanuel Mwaigobeko kwa kutoa fedha za mapato ya ndani shilingi milioni mia mbili sitini na tisa laki nane themanini na tatu mia tisa ishirini na sita (269,883,926) katika robo hii ya kwanza na kuzipeleka Kwenye Kata kwa ajili ya Utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

Kwa upande mwingine Madiwani hao pia wamempongeza Mhe. Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini  Hassan Mtenga kwa kuwezesha  vifaa vya ujenzi kwenye baadhi ya  Kata zilizopo ndani ya Manispaa.

Wajumbe wa baraza la Madiwani wametoa pongezi hizo Oktoba 27,2022 kwenye mkutano wa baraza la madiwani wa kupitia na kujadili taarifa za Kata uliofanyika kwenye Ukumbi wa shule ya Sekondari ya Mtwara Ufundi.

 Miradi inayotekelezwa kwa kutumia fedha hizo ni pamoja na ujenzi wa vyumba ishirini na moja vya madarasa ya  Sekondari ( 240,000,000), ujenzi wa nyumba ya mtumishi Mitengo Sekondari mbili kwa moja (114,683,972), Fedha za TASAF (321,740,356), Elimu bure Msingi na Sekondari

Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.