• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

HALMASHAURI YA MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI YAPATA UGENI WA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU.

Posted on: October 23rd, 2017

Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani yapata ugeni wa waheshimiwa madiwani ishiri na nne (24) wa Halmashauri ya Wilaya  ya Tunduru wakiwemo wataalamu wanne (4) wa Kilimo, Uchumi, Habari na Afisa Utumishi , kwa muda wa siku tatu (3),  kuanzia tarehe 19/10/2017 hadi tarehe 21/10/2017 kwa lengo la kujifunza uendeshaji wa Halmashauri , Maendeleo na fursa mbalimbali zilizomo ndani ya Manispaa ya Mtwara Mikindani. 

Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Beatrice Dominic akiongea na waheshimiwa na wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Mtwara Mikindani , kuhusu uendeshaji wa Halmashauri kwa kuzingatia kanuni, sheria na utawala bora na kutoa uzoefu wake juu ya ukusanyaji wa mapato ya ndani, Utoaji mikopo kwa akina mama na vijana na usimamizi wa miradi ya maendeleo.  


Wataalamu wa vitengo mbalimbali wa Halmashauri ya manispaa ya Mtwara Mikindani  wakitoa maelezo juu ya  uzoefu wao wa namna wanavyotekeleza majukumu mbalimbali ya  kikazi na kutoa uzoefu wao kwa waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Tunduru.

 Waheshimiwa madiwani na  wataalamu walitembelea  kituo cha utafiti wa Kilimo Naliendele kwa lengo la Kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu kilimo, na kuona uzalishaji wa mbegu bora za korosho, Ufuta na Karanga na kuona kilimo ya umwagilia wa karanga na ufuta pamoja na  kiwanda cha kuongeza thamani na kubangua zao la korosho na uzalishaji wa bidhaa zinazotokana na korosho kama vile cashew butter, Jam, Juisi n.k. 

Ugeni huo ulitembelea Bandari ya Mtwara na kujifunza namna walivyojiandaa na msimu mpya wa mwaka huu wa korosho katika kuhakikisha korosho zote zinasafirishwa kupitia bandari ya Mtwara. Pia walipata nafasi  ya kutembelea mradi wa Dampo ya kisasa iliyopo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani na kujifunza namna watakavyoweza kutekeleza mradi kama huo.


IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA TEHAMA -  MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI



Matangazo

  • Taarifa Kwa Umma ya Ilani ya Kuondoka Kwenye Kiwanja Nmaba 1-149 Litingi January 03, 2025
  • Taarifa Kwa Umma Ufafanuzi Kuhusu Jina la Shule ya Sekondari Mwalimu Nyange January 02, 2025
  • Terms Of Reference For The Provisions Of Construction Supervision Consultancy Services For Urban Infrastructures Development In Mtwara Mikindani Municipality Under The TACTIC Project March 07, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operators January 09, 2025
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Utekeelzaji wa Miradi ya MaendeleoMtwara-Mikindani

    January 08, 2025
  • MD Nyange Ateta na Watumishi Wa Kada ya Afya

    January 07, 2025
  • Vikundi Vilivyopata Mkopo Vyahimizwa Kurejesha Fedha Kwa Wakati

    January 06, 2025
  • Mtwara-Mikindani Yatoa Mkopo wa Mil.640.9 Kwa Vikundi 58

    January 06, 2025
  • Tazama yote

Video

Namna ya Kujisajili na Kutumia mfumo wa Uhamisho kwa watumishi wa Umma
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.